SOMA HAPA ALICHOANDIKA HEMEDY PHD KUHUSU MSANII WA TANZANIA ALIESEMA HAFANYI TENA COLLABO NA WABONGO.

Admin Updates10 years ago5 Views

Screen Shot 2014-11-10 at 11.03.32 AMMwigizaji/Mwimbaji
Hemedy PHD ni miongoni mwa mastaa wa Tanzania ambao hutumia sehemu ya
muda wao pia kuandika kwenye mitandao ya kijamii yake ya moyoni ama
kuwafikishia taarifa mashabiki wake.

November 10 2014 Hemedy aliandika tweet ikisema >>> ‘Mtu anasema hategemei kufanya collabo na msanii wa bongo ikiwa ngoma zake zote kabebwa na collabo, fikiri kabla ya kuzungumza‘
Hemedy ameandika tweet hii siku kadhaa baada ya msanii Shetta kusema kwa sasa hafikirii kufanya collabo na Wasanii wa Tanzania bali anafanya mpango wa kujipenyeza kimataifa zaidi akisema ‘nimefanya
collabo nyingi na Wasanii wa Tanzania ndio maana siko tayari kufanya
tena hivyo nikawa nawaza mawili, nifanye collabo na msanii wa kimataifa
au kutoa wimbo peke yangu?

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.