SHUHUDIA ZARI THE BOSS LADY ALIVYOLETA UTATA MTANDAONI KWA PICHA HIZI AKIWA NA MUME WAKE WA ZAMANI

Admin Updates9 years ago5 Views

Unakumbuka kipindi kile Diamond na Zari wameenda Ulaya kwenye ziara ya ‘From Tandale to the World’ na ex wa Zari, Ivan kudai naye anaipeleka familia yake kula bata Ibiza ambako hakwenda hata hivyo?

12917860_1257356497626390_268606394_n

Zari akiwa na marafiki zake, Dj Zihle na Nohle
Mganda huyo tajiri anayeishi Afrika Kusini na aliyezaa watoto watatu na Zari haishiwi vibweka na vimbwanga! Ni kwasababu sasa amekuja na kingine kilichochoea mjadala mpya kwenye mitandao ya kijamii wa kama bado wawili hao wanaonana zaidi ya inavyotakiwa.

12599387_203270733388583_891663220_n

Siku kadhaa zilizopita, Zari alipost picha akiwa kwenye swimming pool akifurahia maji vugu vugu na marafiki zake wa South ambao nao ni mastaa, Dj Zinhle ambaye ni ex wa rapper AKA na mama wa mtoto wake pamoja na Nohle Ndala.

13113801_1268984979796454_1871792646_n

1

Watatu hao walikuwa kwenye sehemu inaitwa Soulstice Day Spa ya Capetown, Afrika Kusini. Ni sehemu ya kifahari ambapo watu huenda kupata huduma mbalimbali zikiwemo massage.
Wiki hii Ivan kawachakua pia washkaji zake na kwenda kubarizi hapo na hivyo picha zake kuleta utata kwa watu ambao hawafahamu kuwa hiyo ni sehemu public ambayo mtu yeyote anaweza kwenda.

13108947_1751596651753154_1894672819_n

“This is the life, what you living i don’t know what it is….,” ameandika katika post moja wapo.

13129651_213165862400787_856682539_n

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.