SHEEDAH:..MEYA JERRY SILAA WA ILALA NAYE NI HATAR HIVII?..AWAPA KAULI NZITO MASTAA MASANJA,MPOKI NA WENGINE..SOMA ALICHOWAAMBIA

Admin Updates10 years ago4 Views

Meya wa Manispaa ya Ilala Mhe.Jerry Silaa amewaacha hoi wachekeshaji maarufu Tanzania walipokutana jana baada ya kuwaambia naye ana kipaji kama wao ila kwa sasa anafanya kazi ya wananchi wa kata ya  Gongolamboto na Manispaa ya ilala…katika kuwatania alisema..”
Siasa ikikataa nitabanana na kina Mc pilipili,Masanja,Mpoki,Joti na wengine wengi  kwenye comedy…..
Kama hawa wenyewe hawana mbavu basi kipaji kipo….
Waiteni waje wajione wanavyocheka….
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.