RC CHONGOLO ashuhudia Utiaji Saini Makataba wa Tshs.bilioni 7.3 wa Mradi wa Maji Songwe

Admin Updates1 year ago5 Views

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe.Daniel Chongolo

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Daniel G. Chongolo ameshuhudia Hafla ya utiaji saini wa Mkataba wa Mradi Mkubwa Mpya wa Maji uliofanyika baina ya Mamlaka ya Maji safi na Utunzaji wa Mazingira _ Vwawa & Mlowo na Mkandarasi wa Clask Tanzania Ltd.

Mradi huu utaghalimu zaidi ya Bilioni 7.324 hadi utakapokamilika kwa kipindi cha miezi 15 tangu tarehe ya kusaini mkataba. Wanufaika wa Mradi huu ni wananchi wa Miji ya Vwawa na Mlowo wilayani Mbozi.

Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe Bi.Happiness Seneda naye alikuwa mmoja wa watu walioshuhudia Hafla Hiyo ya Utiaji Saini Mkataba Huo ambao unalenga kuboresha na kumaliza tatizo la maji safi mkoani Humo.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.