RAY C AWAFUNGUKIA MASTAA WANAOMPONDA SHOGA ALIYEJIBADILISHA NA KUWA MWANAMKE..ASEMA HAYA

Admin Updates10 years ago7 Views

Baada ya hivi karibuni, staa na mwanamuziki mkongwe nchini, Ray C, kupitia ukurasa wake wa instagram, kupost picha ya baba mlezi wa mwanamitindo maarufu Kim Kardashian, Bruce Jenner (Caitlyn ), ambaye amejibadil jinsia yake na kuwa mwanamke. Staa huyo alianza kumsifia shoga huyo kuwa ni mzuri kuliko ata mke wake, kauli iliyozua utata kwa baadhi ya mastaa na mashabiki wake, wakimlaani staa huyo aliyejinadi kuokoka ivi karibuni kusapoti ushoga wakati anajua ni dhambi.

Ata hivyo staa huyo amewajia juu baadhi ya mashabiki zake na mastaa wenzie na kuwataka kuacha unafki wakati ata apa bongo kuna mashoga ambao ni marafiki wa mastaa wengi apa nchini, msikie Ray C..

“Wabongo bwana!!!! Mnajifanya mnamponda Huyu wakati mashoga mnaishi nao mitaani,tena mnawalipa kabisa waje wasasambue kwenye vibao kata!tena haohao mashoga ndio wanaowataftia mabwana!mashoga ndio makuwadi wakubwa wa Dada zetu mitaani tena kuwapa maxi zaidi mashoga ndio marafiki wakubwa wa mastaa hapa mjini!

Mastaa kibao wanazunguka na mashoga kwenye kumbi za starehe bila hata aibu!humuhumu insta kuna mashoga kibao na wanajulikana na mnawafollow na kuwasifia Niwataje?

Afu mnajifanya mnamponda huyo chakla hapo juu wakati lango la jiji wamejaa tele kwenye taarab ndo usisema!acheni fitna!kama mnapinga hili jambo anzeni kuwapinga wa nyumbani kwanza sio mnamponda MTU aliekuwa dunia nyingine !!!”.
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.