RAY C ATOA KALI YA MWAKA, APIGIWA SIMU ZAIDI YA 500 HADI SAA USIKU

Masama Blog9 years ago6 Views

LOL! Kumbe suala la kuolewa Ray C alikuwa anajaribisha tu kuona kama mashabiki wake mpo.


“Hapana sina mpango wa kuolewa, mme mwema anatoka kwa Mungu, huwezi
sema unatangaza. Sasa hivi sipo kwenye mahusiano sina mtu, nikimpata
mtasikia. Kuhusu kutafuta mme wa kunioa huo ulikuwa utani tu, nilikuwa
nataka kuwafurahisha watu wangu wa insta. Nimepokea simu nyingi zaidi ya
500 hadi saa 6 usiku. Kwahiyo nimeona mashabiki bado wapo na
wananipenda. amesema Ray C
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.