PICHA ZA WASANII WA “BONGO MOVIE” WALIONUSURIKA KIFO KWENYE AJALI WAKITOKEA DODOMA

Admin Updates10 years ago7 Views






Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere akibadilisha tairi




Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere akibadilisha tairi



 
Wasanii
nyota wa filamu ‘Bongo Movie’ wakiongozwa na mwenyekiti wao Steve
Nyerere wamenusurika katika ajali mbaya ya gari  iliyotokea maeneo
jirani na Chalinze wakiwa njiani kuelekea Dar wakitokea mjini Dodoma
walipoenda kuhudhuria Tamasha la Uzalendo pamoja na Uzinduzi wa video ya
wimbo wa miaka 50 wikiendi iliyopita.





Chanzo
cha ajali hiyo kimetajwa kuwa ni kupasuka kwa matairi mawili ya gari
walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Brevis lenye nambari za usajili T
200 CRY hata hivyo Hakuna mtu aliyeripotiwa kufa wala kujeruhiwa. Vicent
Kigosi ‘Ray’, Shamsa Ford, Irene Uwoya, Johari na Jaccob Steven ‘JB’ ni
miongoni mwa wasanii waliokuwepo eneo la tukio.


Maisha Matamu, Johari na Shamsa Ford katika picha baada ya kunusurika ajalini

Maisha Matamu, Johari na Shamsa Ford katika pozi, baada ya kunusurika ajalini


Brevis





  


TairiWadau wakitoa msaada

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...