PICHA ILIYOSAMBAA DIVA AKIPIGWA BUSU JUKWAANI..MPENZI WAKE CRAZY GK KASEMAJE?JIBU KUBWA LIKO HAPA

Admin Updates10 years ago80 Views

GK


Hii imesikika muda mrefu, uhusiano wa Loveness Diva na Crazy GK.. minong’ono ikamfikia Soudy Brown kwamba wawili hao wameachana kisa ni PICHA inayomuonesha Diva akipigana mabusu na star wa Bongo Fleva kwenye show.

Soudy Brown amemtafuta GK ambae
amesema hakuwepo kwenye show hiyo, aliziona picha hizo kwenye mitandao
na yeye aliona ni tukio la kawaida kwa sababu wote ni watu wa burudani..
ishu ya kuachana kumbe sio kweli, GK amesema bado wako pamoja kama zamani yani.
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...