NORAH AWANANGA MASTAA..ADAI YEYE AJAGALAGAZWA OVYO KAMA HAO WENGINE

Admin Updates9 years ago7 Views

Nora Bongo Movies
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram, mkali wa sanaa ya uigizaji hapa Bongo, Nora amefunguka haya kwa wale wote wanaomponda eti amezeeka
Hivi nyinyi mnaoniambia mzee amuoni aibu loooo..hahahahhaaa mana mnafanya siku yangu iwe nzuri ni jinsi gani nawaumiza mpaka mnalopoka kama mmetoka usingizini.Hivi mimi mnaweza kujifananisha na nyinyi, hoooo ninamiaka mingi kweli na nimewazidi vingi sana, tabia, muonekano…haaaa mi sijagalagazwa ovyo nilijiheshimu tangu usichana wangu, nimeshafanya maisha yote hakuna cha ajabu kwangu nyi kinachowatoa roho sasahivi, tena nikiwa na mume wangu wa ndoa sio wakushobokea kwasababu nipate kitu na yeye anivuruge tu.

Sioni kipya na bado nawaumiza kichwa mkinitafari ni jinsi gani mnanipenda na mnanikubali moyoni. Asanteni kwa hilo mnazidi kunipa nguvu Mungu awabariki sana sijajua kabisa kama bado ninanguvu kiasi hichi, mbarikiwe sana tim matusi ila muombe sana muwe mnalipa mpaka age yangu mana sura zimeshawashuka watoto wadogo mwili ndo usiseme nikisimama na nyinyi mnaonekana vizee vya miaka 70 na mnavyotumika sipati picha sehem nyingine hata tukisimamishwa uc** bado i will look young puuuu natamani kuwatema mate niki imagin mlooooh mnataka nini mbona mambo ni yale yale
Embu tulieni watoto wakike mjiheshim yani na Mungu anavyojua kuwadhalilisha mnalopokaje mitusi yenu wenyewe nadhani mnajiangalia mlivyo used halafu mnawambia wenzenu mana mngekua hamko hivyo mmgekua na haya kutamka vitu vya ajabu kama ujawai onamm na myinyi tofauti sanaaaana kama bado mlikua hamjaja mjini wakati na miaka 26’mi sikua kama nyinyi nivute nikuvute na wala umaarufu sijauvalia bukta ndo mana haunisumbui wala haunipeleki puta naishi maisha yangu an am happy siofii chochote zaidi ya akhera yangu nipo tofauti nyinyi mnaona kama dunia imeshushwa jana kila kitu kwenu kipya

Muwe na hekima kama adabu imewashinda mbarikiwe katika kheri na maovu Mungu awaondolee watoto wazuri najua sio kosa lenu poleeeeni eeeh ndo mliambiwa umaarufu huo ooooo poyeeeee vitotooooo chilieeee come to dadaaaaa.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.