NISHA AWAUMBUA OMMY DIMPOZ NA MARTIN KADINDA KWA KUONYESHA MAUMBILE YA KIUME FAKE KWENYE SURUALI ZAO ILI WASIFIWE

Admin Updates10 years ago5 Views

Baada ya wiki chache kupita toka msanii wa bongo fleva, ommy dimpozi,
kupost picha kwenye ukurusa wake wa instagram, ikimuonyesha staa huyo
akiwa amevaa suruali inayoonyesha kitu chenye muonekano kama maumbile ya
kiume , picha iliyozua gumzo kwenye mitandao ya kijamii, uku wengi
wakimsifia staa huyo kwa kujaliwa na maumbile. Ata hivyo haikujulikana
ni kwa nin staa huyo wa hit song ya wanjera aliamua kufanya kioja hicho.

Hivi karibuni tena , mwanamitindo na manager wa muigizaji Wema Sepetu
aitwaye Martin Kadinda, alifanya kioja cha aina yake ambapo kama
ilivyokuwa kwa Ommy Dimpozi, na yeye aliamua kupiga picha huku akiwa
amevaa suruali iliyoonyesha kitu mfano wa maumbile ya kiume, hali
iliyozua maswali ya sintofahamu.

Leo hasubuhi kupitia ukurasa wake wa Instagram, muigizaji na mchekeshaji
maarufu bongo, Salma Jabu, maarufu kama Nisha , naye amepost picha
ikimuonyesha amevaa surual inayoonyesha maumbile ya kiume wakati yeye ni
mwanamke, hali iliyozua mijadala uku wengi wakidai mastaa hao(martin na
ommy ) wanafanya mchezo huo mchafu wa kuweka vitu vinavyofanana na
viungo vya kiume na kuwadanganya watu, kuwa ni maumbile yao, either kwa
kutaka KICK au njia mojawapo ya kujitafutia wanawake kama ilivyo kwa
mastaa wengi wa kike, wanavyo post picha instagram, ikiwaonyesha wana
makalio makubwa ili wawavutie wanaume wakati sivyo walivyo, wengi wao
wamekuwa wakitumia application maalumu ya kubadili maumbile yao.

Baadhi ya wadau mbali mbali wamewataka mastaa hao kuacha huo mchezo mara
moja, licha ya kujishushia heshima zao, mastaa hao wametakiwa kuwa
mstari wa mbele kukemea matendo yaliyo kinyume na maadili yetu na sio
kuchochea maadili mabovu

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.