NDOA YA MASTAA LADY JAY DEE SASA BASI HUU NDIO UTHIBITISHO KAMILI..SOMA HAPA

Admin Updates10 years ago6 Views

jide
Huku
wakiendelea kugoma kuwa wameachana siri ya ndani ambayo inazidi
kufumuka kwa mastaa wawili ambao wemetengana kinyumba ambao ni
mwanamuziki Judith Wambura’Lady Jay Dee’na mtandazaji kiwango Gardner G
Habash.

Taarifa
za hivi zinaeleza kuwa Jaydee ameanza kumfuta Gardner kwenye urithi wa
mali mbalimbali ili baadae wasije kuleteana shida kwenye mgao.
Chanzo
cha ndani kinasema kuwa tayari Jaydee ameshauza nyumba moja huko kimara
na ula mgahawa wa Nyumbani Lounge ambao aliutangaza kuufunga sasa
anaufungua kwa jina la Mog Bar& Reutsaurant
“Kiukweli
ni kwamba hawa jamaawameachana rasmi ila hawataki hili lijulikane kwa
upande wa Lady Jaydee ameanza kulihakiki mali zote walizokuwa wakishea
na Gadner kwa ajili ya kuzipa umiliki wake,tayari nyumba moja wameshauza
na sasa amekodi upya ule mgahawa wa Nyumbani Lounge na utaanza kazi
rasmi” chanzo hicho.
na kwa upande mwingine ladyjaydee amemtimua kazi rasmi Gadner kama meneja wake na sasa kazi zote zinazimamiwa na Rapa Wakazi
Credit : Udaku Specially

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.