NAY WA MITEGO AMPOZA GWAJIMA, WATU WATAKA MAJIBU YA DNA YA MTOTO WA FLORA MBASHA..SOMA ALICHOMSHAURI

Admin Updates10 years ago4 Views



Week Kadhaa zimepita sasa toka Nay wa Mitego alipotoa majibu ya DNA ya
mtoto wake baada ya Utata kutokea kuwa Mtoto si wake, Majibu ya DNA
yalitoka na yakaonyesha kweli mtoto ni wa Nay wa Mitego ..
Kutokana na uamuzi wa Nay wa Mitego wa kwenda kuhakikisha  kama mtoto ni
wake watu wameanza kuongea chini chini kuwa lazima na Emmanuel Mbasha
aende kumpima mtoto wake na Flora Mbasha kwani naye ana utata baada ya
mume wa Flora kumtuhumu Askofu Gwajima kuwa anamahusiano na Mke wake na
ndio chanzo cha ndoa yao kuvunjika…..

Je wewe unamshaurije Emmanuel Mbasha?

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.