Nay Wa Mitego amchimba mkwara mume wa Shamsa Ford

9 years ago123 Views

 Nay Wa Mitego ameonekana kumchimba mkwara mwanaume aliyemuowa aliyekuwa mpenzi wake, Shamsa Ford.

Nay na Shamsa walikuwa na mahusiano mwaka 2015 japo mahusiano yao hayakufanikiwa kudumu kwa muda mrefu na kilamtu kufuata njia yake huku wakidai bado ni marafiki wa kawaida.

Kitendo cha kuolewa kwa Shamsa kinaweza kikawa kimemtoa povu rapper huyo kutokana na kipande cha video alichokiweka kwenye mtandao wake wa Instagram na kuandika ujumbe unaosomeka:

TANGAZO TANGAZO TANGAZOOOO😡😡😡
Naskia my #COUSIN Kaolewaaaa Sasa uyo aliyemuoa ipo siku nitampiga Tukio Kama hiiiiiiiiiii😂😂😂🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
Nina hasiraaaaaaaa🔫🔫😡👹

Shamsa Ford amefanikiwa kufunga ndoa Ijumaa hii na mpenzi wake mfanyabiashara wa maduka ya nguo Rashidi Said aka Chidi Mapenzi.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.