Baada ya Mazungumzo na Rais Samia, Salim Kikeke Avunja Ukimya – Atangaza Rasmi Kuwania Ubunge!

Masama BlogSIASAKIMATAIFAKITAIFAMATUKIO20 hours ago23 Views

Naibu Mkurugenzi wa CROWN MEDIA, Ndugu Salim Kikeke ameweka wazi kufanya mazungumzo marefu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye amemwambia kuwa anasikia yote yanayoendelea na atayatendea kazi.

“Nimeongea na Bi.Mkubwa kwa simu leo kwa urefu sana akaniambia – Salim mwanangu hii ni off record lakini nasikia kinachosemwa mtandaoni nalifanyia kazi jambo hili. Binafsi kutoka moyoni mwangu nataka taifa lenye umoja” Ameandika Salim kupitia Insta-Story yake.

Leave a reply

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...