MSIKIE MHE.ROSEMARY SENYAMULE BAADA YA MHE.RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUCHAGULIWA KUWA MWNYEKITI WA CCM TAIFA

Admin Updates2 years ago4 Views

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary S. Senyamule amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa Kuchaguliwa na Mkutano Mkuu CCM Taifa kuwa mwenyekiti wake kwa kipindi cha miaka mitano 2022-2027 na kusema amefurahishwa sana na kuupongeza uamuzi wa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 10 wa CCM Taifa kwa kumchagua kwa kura za kishindo.Katika Mazungumzo yake na wana habari leo Mkuu wa Mkoa huyo Mhe.Rosemary Senyamule amesema…..

”…..Kwa  kweli Nampongeza sana Mhe.Rais wetu kwa ushidi huu..na niseme wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM Taifa wamenifurahisha sana kwani wamefanya maamuzi sahihi,wakati sahihi na kwa watu sahihi ambapo  kwa kumchagua kwa kishindo Rais Samia, Suluhu Hassan kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa,Ndg.Abdulrahman Omar Kianana kuwa Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara na Ndugu. Hussein Ali Mwinyi kuwa Makamu Mwenyekiti Tanzania Visiwani,na sisi kama
wateule wake na wasidizi wake tunaahidi kuendelea kuchapa kazi bila kulala
kuhakikisha dhamira ya Mwenyekiti wetu wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Rais Samia kwa wananchi wa dodoma na
watanzania inafikiwa ikiwa ni utekelezaji wa ilani ya CCM pia…..”


Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.