Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary S. Senyamule amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa Kuchaguliwa na Mkutano Mkuu CCM Taifa kuwa mwenyekiti wake kwa kipindi cha miaka mitano 2022-2027 na kusema amefurahishwa sana na kuupongeza uamuzi wa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 10 wa CCM Taifa kwa kumchagua kwa kura za kishindo.Katika Mazungumzo yake na wana habari leo Mkuu wa Mkoa huyo Mhe.Rosemary Senyamule amesema…..
”…..Kwa kweli Nampongeza sana Mhe.Rais wetu kwa ushidi huu..na niseme wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM Taifa wamenifurahisha sana kwani wamefanya maamuzi sahihi,wakati sahihi na kwa watu sahihi ambapo kwa kumchagua kwa kishindo Rais Samia, Suluhu Hassan kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa,Ndg.Abdulrahman Omar Kianana kuwa Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara na Ndugu. Hussein Ali Mwinyi kuwa Makamu Mwenyekiti Tanzania Visiwani,na sisi kama
wateule wake na wasidizi wake tunaahidi kuendelea kuchapa kazi bila kulala
kuhakikisha dhamira ya Mwenyekiti wetu wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Rais Samia kwa wananchi wa dodoma na
watanzania inafikiwa ikiwa ni utekelezaji wa ilani ya CCM pia…..”
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33








