MSANII DUDE, ESTER KIAMA KUNA KITU!??..WAONE WAPO KARIBU MUDA MWINGI WANATIA SHAKA!

Admin Updates10 years ago5 Views


UKARIBU
wa mastaa wa filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba maarufu kama Dude na
msanii mwenzake Ester Kiama unaonyesha kama kuna kitu kati yao baada ya
kuonekana kuwa karibu kwa muda mwingi kiasi kinachotia shaka!

Staa wa filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba maarufu kama Dude.

Chanzo
kilicho karibu na wawili hao kimesema mara kwa mara wanaonekana kuwa
karibu kila wanapokwenda na kuonyesha dalili zote za kimahaba, lakini
wenyewe wanadai ni washkaji walio kazini.

Gazeti
hili lilibahatika kuwafuma wakiwa pamoja na walipoulizwa juu ya tuhuma
za kujihusisha kimapenzi, kila mmoja alimtupia msalaba wa kujibu
mwenzake.  “Mh, jibu wewe, mimi najua Dude ni kaka yangu na ni
mfanyakazi mwenzangu”, alisema Ester.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.