MSANII CHUCHU HANS AKANUSHA HABARI ZA KUWA YEYE ANA UGOMVI NA JOHARI SABABU YA RAY..MSIKIE ALICHOONGEA JANA

Admin Updates9 years ago6 Views

Mrembo na mwigizaji wa filamu za bongo amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu  Johari aliyekuwa mpenzi wa Ray kabla yake na kujibu kuhusu uvumi uliyokuwa kwenye mitandao kuwa wana beef kubwa

Chuchu Hans amedai kuwa yeye hakuwahi kuwa na ugomvi na Johari bali ni ulikuzwa tu na mitandao amedai yeye anachojua ni kuwa Johari na Ray ni Business Partner hivyo hawezi kuwaingilia katika kazi na anauheshimu uhusiano huo…
Pia ameongeza kuwa Ray anapenda sana watoto hivyo anawalea watoto wake wawili aliopata kwa bwana mwingine kama watoto wake
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.