MHE.SAMUEL SITTA AWATOA HOFU WASANII KUHUSU HAKI MILIKI

Admin Updates10 years ago4 Views





 Mweyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,
Mhe. Samuel Sitta akiwahutubia wasanii pamoja na waandishi wa habari
waliohudhuria mkutano leo katika kumbi za mikutano bungeni mjini Dodoma.


 Makamu
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samia Suluhu Hassan akito maneno ya
shukuurani kwa wasanii wakati walipofanya mkutano na Mweyekiti wa Bunge Maalum
la Katiba, Mhe. Samuel Sitta mkutano leo katika  moja ya kumbi za mikutano bungeni mjini Dodoma.


 Viongozi wa msafara walifuatana na
wasanii 25 wakimsikiliza Makamamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe.
Samia Suluhu Hassani wakati walipohudhuria mkutano leo katika moja ya kumbi za
mikutano bungeni mjini Dodoma.

 Baadhi ya wasanii na waandishi wa
habari wakifuatilia kwa makini maelezo kutoka kwa Mweyekiti wa Bunge Maalum la
Katiba, Mhe. Samuel Sitta wakati walipohudhuria mkutano leo katika moja ya
kumbi za mikutano bungeni mjini Dodoma.

 Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzani
(TAF) Bw. Simon Mwakifamba (kushoto) akimkabidhi Mweyekiti wa Bunge Maalum la
Katiba, Mhe. Samuel Sitta ripoti ya wasanii yenye mapendekezo mbalimbali
kuhususiana na Katiba mpya wakati wa mkutano leo katika moja ya kumbi za
mikutano bungeni mjini Dodoma.

Mweyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,
Mhe. Samuel Sitta (aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
wasanii walifika Bungeni mjini Dodoma kwa ajili kuwasilisha mapendekezo yao
kwajili ya Katiba mpya. Kushoto kwake ni Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la
Katiba Mhe. Samia Suluhu Hassan.(Picha na
Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma).

Previous Post

Next Post

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.