MFULULIZO WA VIFO VYA WASANII,DOKII AFUNGUKA KUWA NI MUNGU ANAWAADHIBU

Admin Updates12 years ago5 Views

Mwigizaji nguli Bongo, Ummy Wenslaus  maarufu ‘Dokii’(pichani) ameibuka na kusema kuwa vifo
vya wasanii vimetokea kutokana na kujisahau hivyo Mungu ameamua
kuwaadhibu. 




Akiongea
na mwandishi wetu katika Viwanja vya Leaders Club, Juni 5, mwaka huu
ambapo mwili wa Mangwea ulikuwa ukiagwa, Dokii alisema matukio ya vifo
vya wasanii mbalimbali yaliyotokea miaka miwili mfululizo ni pigo kubwa
kwani wengi ni vijana ambao ni nguvu kazi ya taifa kitu ambacho anakiona
ni ishara kuwa Mungu anataka kujidhihirisha kwa wasanii.
“Wasanii
tulijisahau sana na kuona Mungu hayupo kwani kipindi bado hatujatoka na
tunatafuta kutoka kisanaa, tulikuwa tunamuomba kila wakati lakini baada
ya kutoka na kuwa mastaa tumemsahau kabisa.




“Hatukumbuki kwenda
ibadani tunabaki kuendekeza starehe za dunia tu, hivyo tubadilike kwani
Mungu ameanza kujionesha kwetu kwamba yupo,” alisema Dokii.


0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.