50 cent kupitia mtandao wa Instagram alimuandikia
ujumbe ulionekana akisikitikia tukio hilo la kushtua na pia kumtaka awe
katika hali ya faraja baada ya kuwa katika wkati mgumu kwa kushuhudia
mauaji hayo.
“@floydmayweather you are my little brother. All
can think about is what you said to me up stairs. Don’t you ever do
nothing to your self no matter what champ. We can fall out and fight or
what ever,but I don’t want to see you go out like that.” ilisomeka
sehemu ya ujumbe kutoka kwa 50 cent kwenda kwa bondia huyo ambapo
bondiua huyo alirepost ujumbe huo toka kwa 50 cent kuonesha kupokea kile
ambacho kimeandikwa kuelekea kwake.
Sehemu ya ujumbe imeonesha
50 akimuita bondia huyo mdogo wake jambo ambalo halikua likionekana kwa
muda sasa kufuatia wawili hao kukorofishana kwa kile kilichoaminika
matatizo ya kibiashara baina yao.