Rais wa Klabu ya Yanga SC ya Jijini Dar es Salaam Eng. Hersi Saidi akiwa Uwanja wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) akimpojea Mgeni wake beki wa klabu ya PSG na timu ya Taifa ya Morocco Achraf Yekimi aliyewasili jana kwenye uwanja Huo uliopo Mkoani Kilimanjaro.
Hakimi ametua nchini akiwa na rafili zake na imetajwa kuwa nyota huyo atakuwa nchini kwa wiki moja huku wakitembelea vivutio mbali mbali vya utalii nchini zikiwepo Mbuga za wanyama.