MATOKEO ya Yanga Vs TS Galaxy jana 24 July 2024

1 year ago111 Views

MATOKEO ya Yanga Vs TS Galaxy Leo 24 July 2024

Klabu ya Yanga SC inashuka dimbani jana  kuivaa TS Galaxy katika mechi ya pili ya michuano ya Kombe Kuu la Kimataifa la Mpumalanga inayofanyika Afrika Kusini.

Mchezo huo utafanyika kwenye uwanja kwenye uwanja wa Kanyamazane uliopo mji mdogo wa KaNyamazane katika jimbo la Mpumalanga.

Yanga ilipoteza mechi ya kwanza dhidi ya Augsburg ya Ujerumani kwa mabao 2-1 wakati TS Galaxy ilitoka sare ya mabao 2-2 na Mbabane Swallows ya Eswatini

Matokeo ya Yanga vs TS Galaxy

LIVE | YANGA 1:0 TS Galaxy 

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.