MAPENZI:YAMENIKUTA: MCHUMBA WANGU AMEZAA ANGALI BADO BIKIRA

Admin Updates10 years ago6 Views


 
Wanajamvi
habari zenu. Mimi nina mchumba wangu ambaye ni mkristo mwenye imani
sana na dini yake. Mtaratibu, mpole, na ana heshima sana. Katika
mahusiano yetu hatujawahi kufanya mapenzi mpaka tutakapofunga harusi na
pia ni bikra. Nilipata safari kwa mda nimerudi nimemkuta amejifungua
mtoto wa kiume. Nimeshangaa namuuliza kulikoni, anadai mimba hiyo
alipewa na malaika.


Nimemwamini
ila nikamuambia kama ndivyo basi huyu mtoto atakuwa nabii hivyo
amsimamishe ili atembee juu ya maji kama Yesu, akaniambia amefunuliwa
ndotoni kuwa mtoto huyo ataanza kufanya maajabu atakapofikisha miaka
mitano.


Hapa nimeanza kupata shaka naombeni ushauri!

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.