MAPENZI:KUMVUA MGUO MWANAMKE NA KUMUACHA NI TABIA MBAYA SANA,JIFUNZE HAPA

Admin Updates10 years ago5 Views



We mwanaume mwenzangu jaribu kufikiri Mara mbili kabla ya kufanya jambo hili.




Umetumia zaidi ya mwaka mmoja kuomba mahusiano kwa mwanamke(kutongoza).
Alafu baada ya kumvua nguo tu basi unakata mawasiliano apoapo hauoni ni
ukatili WA kijinsia au utapeli.


Kinachonishangaza zaidi watu wenye tabia hii wanabidii kwenye kutongoza kuliko wale wanatafuta mke WA kuoa.


Ingawa inawezekana ikawa si jambo zito kwa mwanaume lakini kwa mwanamke ni majeraha makubwa moyon unayomwachia.


Unamsababishia maswali mengi kichwani kwa mfano:-

1. Labda sijui mapenzi

2. Ameniona changudoa

3.shepu yangu mbaya.


Lakini kubwa zaidi ni kwamba unasababisha ugumu kwa mwanaume
atakayejitokeza kwa malengo ya kutaka kumuoa. Hataweza kutofautisha
muoaji na mfunuaji.


Interview inakua ndefu na na ya mda mrefu kwa mwanaume WA kweli
atakapotokea, mpaka wakati mwingine mwanaume anashindwa kwa vigezo
avyopewa.


Kwakwel kama hauna malengo na mtu usimpitie na kumwacha, mnatupa shida sisi waoaji.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.