MAPENZI:JAMANI MUME HANIFIKISHI KISAWASAWA, AKIMALIZA YEYE MIMI NABAKI BADO NA HAMU..NIFANYEJE?

Admin Updates10 years ago7 Views

Mimi
ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto
wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati
tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu,
baba watoto alikuwa ananiweza kweli….yaani nikikutana nae…aaah,
allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa….na akiwa
amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia
nime…..! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo
ya sawa sawa.


Sasa
kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi…da, baba watoto kwa kweli ana
underperform kabisa….wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na
mimi mwanamke huwa nahitaji…nikimwambia anasema nimechoka sana kazini.
Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini
moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati
ya mambno haya:


1.
Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini
huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi


2.
Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na
bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga
imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii
pale “Dar es Salaam” kisawasawa 


Haya
yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize
au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga
kuanzia Dar, basi watafika hadi Morogoro……tatizo nampenda baba
watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi
nita-confirm namba moja ya hapo juu….So na mimi nitaanzia  kutafuta wa
kurusha nae roho.


Naomba mnisaidie what to do at the moment.
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...