Man United Yasukumizwa Nje ya Michuano ya Kombe la Carabao

Masama BlogMICHEZOKIMATAIFA7 months ago232 Views

Man United Yasukumizwa Nje ya Michuano ya Kombe la Carabao

Manchester United imesukumizwa nje ya michuano ya kombe la Carabao (EFL Cup) kufuatia kipigo cha penalti 12-11 dhidi ya timu ya Grimsby Town Fc inayoshiriki Ligi daraja la nne Nchini England kwenye mchezo wa raundi ya pili wa michuano hiyo katika dimba la Blundell Park.

FT: Grimsby Town Fc 2-2 Man United (12-11)
⚽ 22’ Verman
⚽ 30’ Warren
⚽ 75’ Mbeumo
⚽ 89’ Maguire

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.