Mambo ya Mastaa: Diamond Amemnunulia Zuchu Meno Bandia ya Mamilioni ya fedha

Admin Updates1 year ago6 Views

Msanii  kutoka pale Usafini, Zuhura Othman ‘Zuchu’ ametupa mchapo mpya kwamba meno ya bandia anayoyabandika mdomoni mwake, yamegharimu takribani shilingi milioni 73.
Zuchu ametema exclusive hiyo leo alipokuwa akifanyiwa mahojiano na Wasafi FM na mtangazaji Lil Ommy ambaye alitaka kujua gharama ya baadhi ya vitu vyake alivyotumia ikiwemo cheni, pete na mazaga mengine.
“Kwa mfano kama meno alinunua around kama dola elfu thelathini (sawa na shilingi Mil. 73)” alisema Zuchu.

 

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.