MAMAAA:UMEJUA HUYU DK CHRIS MAUKI WA CHUO KIKUU ALICHOFANYA?..CHEKI HAPA MAMBO YAKE NI BALAAH

Admin Updates10 years ago4 Views



Hii ni DVD ya mahusiano kwa walioko
katika ndoa na wale ambao wako kwenye mahusiano ya kimapenzi, DVD hii ni
mpya sokoni na ilisubiriwa kwa hamu kubwa sana, Kamwe hautabaki kama
ulivyo ukimaliza kuiangalia na kuisikiliza kwa makini. Inapatikana MAK
bookshop Mlimani City kwa sh 10000/= tu






 Baada ya tafiti na ushauri wa
kisaikolojia kwa wazazi wengi kuhusu malezi, niliamua kutoa DVD hii
ambayo ilirekodiwa live katika mkutano mkubwa wa wazazi wasiopungua 2000
pale Mlimani City Conference Centre. DVD hii itakusaidia kumwelewa vema
mwanao na kukusaidia mbinu za kumfanya awe karibu zaidi na wewe kama
mzazi. Inapatikana kwa sh 10000/= tu katika duka la vitabu la MAK pale
Mlimani City





Kitabu hiki JITAMBUE KISAIKOLOJIA
kimebadilisha maisha ya wengi mpaka sasa, na wengi wakliokisoma ni
mashuhuda, wewe unaweza pia kuwa mmoja wa mashuhuda hao kwa kukisoma,
sio kitabu kikubwa sana, unaweza kukimaliza kwa siku mbili lakini shule
yake ni ya maana sana kwako na katika maisha mazima. Kinapatikana MAK
bookshop kwa sh 10000/= tu.







Kwa maelezo
zaidi ya upatikanaji wa bidhaa hizi, au jambo lingine lolote wasiliana
nasi kupitia 0713 407182, au chrismauki57@gmail.com
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.