MAHUSIANO:NIMEMKUTA MUME WANGU AKIFANYA NGONO NA HOUSE GIRL WA JIRANI YETU..NIFANYEJE JAMANI?/

Admin Updates10 years ago5 Views




Juzi nilikuwa naenda kazini nikamuacha mume wangu



nyumbani anaangalia TV, gari langu likazima ghafla kiasi cha



kilomita moja toka nyumbani.



Nikaona nitembee mpaka nyumbani kumwomba mume wangu aje anisaidie
kutengezagari, kwa mshangao wangu nilipofika nyumbani nikamkuta mume
wangu yuko chumbani na msichana wa kazi wa nyumba ya jirani. Mume wangu
ana miaka 43, mimi nina miaka 39 na msichana huyo ana miaka 19
hivi.Tumekuwa katika ndoa kwa miaka 10. Nilipomuuliza mume wangu
alikubali kuwa uhusiano wao umekuwa ukiendelea kwa miezi sita sasa,
nifanye nini mimi?



NISHAURINI NIFANYAJE NDUGU ZANGU…

SHARE HII TAFADHALI

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.