Mwanamke mmoja kutoka Connecticut, Kimberly Sullivan (56), amekamatwa baada ya kijana anayesemekana kuwa mtoto wake wa kambo kudai kuwa alimfungia ndani ya nyumba kwa zaidi ya miaka 20 na kumtesa. Kijana huyo wa miaka 32 alikiri kwa polisi kwamba aliamua kuwasha moto ndani ya chumba chake ili kupata uhuru wake.
Kwa mujibu wa polisi wa Waterbury, kijana huyo alisema alikuwa akinyanyaswa, kunyimwa chakula, na kutopata huduma za matibabu kwa miaka 20. Aliwaambia wazima moto kuwa, “Nilitaka uhuru wangu,” baada ya kuzima moto huo uliowashwa kwa kutumia sanitizer na karatasi.
Sullivan amefunguliwa mashtaka ya utekaji nyara, unyanyasaji, kumnyima uhuru, na kuhatarisha maisha ya mtu. Wakili wake, Ioannis A. Kaloidis, amekanusha mashtaka hayo, akisema ni madai yasiyo na msingi na kwamba mteja wake hana hatia.
Dhamana ya Sullivan imewekwa kuwa dola 300,000, na atabaki katika mikono ya Idara ya Magereza ya Connecticut akisubiri kesi.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







