KUMBE HUYUY NDIYE MPENZI OMMY DIMPO??ATAJA SABABU ZA SABABU ZA KUTOMTAMBULISHA

Admin Updates10 years ago8 Views

‘Sijapenda
kuweka wazi sana swala la mahusiano kwasababu inatakiwa mimi niweze
kuwa na uhakika kwamba huyu ambaye namtambulisha kwa wananchi ni kweli
wakati umefika, kwasababu leo unaweza ukawatambulisha huyu baada ya siku
tatu mambo hayaeleweki ukatambulisha mwingine, kwahiyo mwisho wa siku
utaonekana kijana unatumia nafasi yako kuweza kuchezea watoto wa kike,
kwahiyo najaribu kuwa makini kwa hilo lakini kipindi kitakapofika watu
wataweza kufahamu kama Ommy ‘bae’ wake ni yupi’ alimaliza

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.