KONDAKTA wa
daladala inayopiga kazi njia ya Makumbusho na Gongo la Mboto, jijini
Dar aliyetambulika kwa jina moja la Saidi (pichani), ameingia matatani
baada ya kudaiwa kuishi kinyumba na mwanafunzi wa kidato cha tatu, tukio
lililotokea Magomeni Kagera hivi karibuni, kinyume na sheria za nchi.

Kwa
mujibu wa chanzo cha habari hizo, denti huyo mwenye umri wa miaka 17
anayesoma Shule ya Sekondari Nguvu Mpya, iliyopo Chanika, Dar aliishi
chumbani kwa konda huyo baada ya bibi yake anayeishi naye maeneo ya
Sinza, Dar kusafiri kuelekea Zanzibar.

Ilidaiwa kuwa wawili hao wamekuwa wakiishi kama mke na mume tokea Machi, mwaka huu ambapo konda huyo akitoka humfungia ndani.Ndani
ya chumba cha konda huyo, waandishi wetu wakiwa na polisi, walishuhudia
sare za shule pamoja na begi na madaftari na katika upekuzi kwenye
madaftari hayo, ilionekana mara ya mwisho aliandika Machi, mwaka huu.

Hata
hivyo, kondakta huyo hakuwepo nyumbani wakati wa tukio hilo, lakini
polisi wameahidi kumsaka na kumkamata ili kumfikisha mbele ya sheria.Mwanafunzi
huyo aliliambia Uwazi kuwa alikutana na konda huyo katika gari lake
ambapo alikuwa akimpatia unafuu wa usafiri bila kunyanyaswa kama
inavyowatokea wanafunzi wengine kabla ya kuanza uhusiano wa kimapenzi.

Alipoulizwa
kuhusu wazazi wake, alidai mama yake alishafariki na hakuwahi kumuona
baba yake, akidai anaishi na bibi yake maeneo ya Sinza, Dar ingawa hivi
sasa amesafiri kwenda Zanzibar.

CHANZO:UWAZI
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33