KIZIMKAZI:Naibu Katibu Mkuu Christine Mndeme ateta na watumiaji wa Nishati Safi ya kupikia

Admin Updates9 months ago6 Views

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme (kulia) akizungumza na  mdau wa Nishati Safi ya Kupikia katika mabanda yaliyowekwa nje ya ukumbi wa mkutano ambao Mdahalo wa Nishati Safi ya Kupikia ulikuwa ukifanyika Unguja, Kizimkazi Agosti 23, 2024

Aidha Naibu katibu Mkuu huyo amesema binafsi amefurahishwa na jamii kuendelea kuelimika juu ya umuhimu wa matumizi ya Nishati safi ya kupikia ikiwepo matumizi ya gesi kuongezeka majumbani jambo ambalo linapunguza uharibifu wa Mazingira kwa kiasi kikubwa.

“…Ni dhamira na lengo kuu la Mhe.Rais Samia kuona wananchi wanatumia nishati zisizochaafua mazingira kwani ni moja ya kipimo cha kuwa na jamii iliuostaarabika na yenye mazingira salama ambapo sisi kama wizara ni lazima tukahakikishe tunasimamia na kuunga mkono dhamira hii njema ya Mhe.Rais Wetu”amesema Bi Mndeme 

Previous Post

Next Post

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.