Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme (kulia) akizungumza na mdau wa Nishati Safi ya Kupikia katika mabanda yaliyowekwa nje ya ukumbi wa mkutano ambao Mdahalo wa Nishati Safi ya Kupikia ulikuwa ukifanyika Unguja, Kizimkazi Agosti 23, 2024
Aidha Naibu katibu Mkuu huyo amesema binafsi amefurahishwa na jamii kuendelea kuelimika juu ya umuhimu wa matumizi ya Nishati safi ya kupikia ikiwepo matumizi ya gesi kuongezeka majumbani jambo ambalo linapunguza uharibifu wa Mazingira kwa kiasi kikubwa.
“…Ni dhamira na lengo kuu la Mhe.Rais Samia kuona wananchi wanatumia nishati zisizochaafua mazingira kwani ni moja ya kipimo cha kuwa na jamii iliuostaarabika na yenye mazingira salama ambapo sisi kama wizara ni lazima tukahakikishe tunasimamia na kuunga mkono dhamira hii njema ya Mhe.Rais Wetu”amesema Bi Mndeme
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







