Katibu Mkuu wa CCM Balozi Nchimbi afanya Mazungumzo na Mjumbe wa Kamati kuu ya chama cha CPC cha China

Admin Updates12 months ago11 Views

 

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mazungumzo na Komredi Tang Dengjie, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), yaliyofanyika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, jijini Dar Es Salaam, mwishoni mwa juma lililopita. Komredi Dengjie na ujumbe wake, amefanya ziara ya kikazi ya siku 3 nchini.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...