![]() |
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo |
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo leo Mei 26, 2023 atanza ziara ya siku 7 mkoani Iringa, kuimarisha uhai wa Chama ngazi za mashina, kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi zipate utatuzi.