KALI YA MWAKA:SHILINGI MILIONI ZAIDI YA 33 ZATUMIKA KUNUNUA JINA TU LA MTOTO!..HII SI KUFURU?CHEKI TU UJIONEE

Admin Updates10 years ago4 Views

African American family at homeUlishawahi
kujiuliza jina lako lina maana gani au limetokana na nini? wengi
tumekuwa na majina ambayo hatujui maana yake na mengi yakiwa ni common,
lakini kuna mengine ambayo ni ya kipekee kwa mfano majina ya watoto wa
mastaa wa Marekani Kim Kardashian anayeitwa ‘North West’na mtoto wa Beyonce ‘Blue Ivy’, ni majina ambayo inasemekana hayajawahi kusikika sehemu nyingine.
Kampuni moja huko Sweeden ya  Erfolgswelle, ina
uwezo wa kubuni jina la mtoto wako ambalo linakuwa la kipekee na huwezi
kulikuta sehemu nyingine duniani, ambapo team ya watu 31 hukutana na
ndani ya masaa 100 jina hilo linapatikana, awali yanaletwa majina 15
yenye hati miliki na kukaguliwa na wataalam wanne ili kuthibitisha jina
hilo halifanani na jina lingine wala kutumiwa na mtu mwingine.
Kabla ya kusajiliwa jina hilo
linaangaliwa katika tafsiri kumi kuhakikisha kuwa halitafsiriki kwenye
lugha yoyote ile wala halina maana ya kitu chochote, baadae unafanyika
utafiti wa kuangalia soko la jina hilo ambapo hujaribishwa  kwa kundi la
watu 780, ili kuangalia kama watalipenda kabla ya kulipitisha na
kulisajili kisha kulipa kiasi cha dola £21,000 ambazo ni zaidi milioni
33 za Kitanzania.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.