Jeshi la Polisi Wataja Sababu za Kupiga Marufuku Namba za 3D

2 years ago105 Views

 

Jeshi la Polisi nchini limetaja sababu za kupiga marufuku namba za magari zilizoongezwa ukubwa (3D), ambapo limesema sababu kubwa ni kwamba hazisomeki kwa urahisi hasa nyakati za usiku kwani hazing’ai, pia hazisomeki kwa urahisi kwenye mifumo ya kielektroniki.
.
Jeshi hilo limetoa sababu hizo kupitia mitandao yake ya kijamii, ambapo limebainisha sababu zingine kuwa ni, hazitengenezwi kwa kuzingatia viwango na sheria za nchi, malighafi zinazotumika kuzitengeneza ubora wake haujathibitishwa na TBS, ni rahisi kutumiwa na wahalifu kutenda uhalifu pia zinatengenezwa na wasiotambulika kisheria.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.