Jerry Silaa Apewa Heshima Bungeni – Naibu waziri Katimba na Mavunde Watoa Pongezi

Masama BlogKITAIFAMCHANGANYIKOSIASAMATUKIO52 minutes ago6 Views

Naibu waziri wa Nchi OR -TAMISEMI Mhe.Zainab Katimba akifurahia jambo huku akimsikiliza kwa Makini Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde nje ya Bunge walipokuwa wanampongeza Waziri wa Mawasiliano na Tenknolojia ya Habari Mhe. Jerry Silaa baada ya wabunge kupitisha makadirio ya Bajeti yake kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 Jijini Dodoma Wiki Iliyopita.

Picha ya pamoja pia ikiwaonyesha Viongozi hawa ambao ni moja ya wachapakazi hodari kwenye Serikali ya Mhe Rais Samia na ni Moja ya Viongozi Makini kupitia tanuru la viongozi la UVCCM.

#UONGOZI UNAOACHA ALAMA

Leave a reply

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...