JE KWA SIFA HIZI NI NANI ZAIDI KWA UZURI KATI YA WEMA SEPETU NA ZARI THE LADY BOSS ?..SOMA HAPA

Admin Updates10 years ago7 Views


Kwenye Mitandao ya Jamii Hasa Instagram
kwa Sasa zimeibuka Team Mbili Kubwa zinazoshinda huko kwa Kupeana
Vijembe vya Hapa na Pale Kuhusu Wema Sepetu na Mrembo Zari The Lady Boss
wa Uganda, Ushandani huo wa Team Zari na Team Wema Umekuja Baada ya
Mwanamuziki Diamond Kuwa na Mahusiano ya Kimapenzi na Wote hao wawili
kwa Muda tofauti ambapo kwa sasa Diamond Ameweka Wazi Kuwa anatoka na
Zari …


Ubishi mmoja wapo ni kuwa nani ni mzuri
wa Umbo na Sura kati ya wema Spetu na Zari , Nasisi hatuna hiyana
tumeona tuwabambanishe Hapa tuone nani atapata kura nyingi …


Haya Nani Mrembo zaidi kati ya Wema Sepetu na Zari The Lady Boss?

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...