IVI NI KWELI WEMA NA AUNT EZEKIELI WANABIFU?? SOMA HAPA MAPYA KATI YAO

Admin Updates10 years ago6 Views





  Siku chache zilizopita Ant Ezekiel alifanya Baby shower kwa ajili ya mtoto atakaezaliwa, party ambayo ilihudhuriwa na mastaa kadhaa wa Bongo isipokuwa rafiki yake Wema Sepetu kitu ambacho


kimetafsiriwa kuwa wana matatizo marafiki hao wa karibu kwa muda mrefu sasa.


Stori hii imeunganishwa na ile ishu ya Zari All White Party
ambayo ilifanyika wiki 2 zilizopita ambapo Ant Ezekiel alipost ujumbe
kwenye Instagram ukiizungumzia show hiyo, kitu ambacho kinasemwa kuwa
ilikua ni sawa na kumsaliti Rafiki yake Wema Sepetu ambaye siku hiyo
alikua Mwanza.
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.