Idadi ya Waliopoteza Maisha Ajali ya Ghorofa Kariakoo Yafika 13, Majeruhi 26,Rais Samia awalilia

1 year ago125 Views

 

“Hadi kufikia leo saa nne asubuhi jumla ya watu 84 waliokolewa na kufikishwa hospitali kwaajili ya kupatiwa Matibabu, kati ya hao majeruhi 26 bado wanaendelea na Matibabu, Kwa huzuni kubwa tumewapoteza wenzetu 13 katika tukio hilo,”
“Serikali itagharamia Matibabu kwa wote waliojeruhiwana kuhakikisha waliofariki wanasitiriwa ipasavyo.” – Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza kufuatia kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo Jijini Dar es Salaam
Ajali hiyo ilitokea jana Jumamosi Novemba 16,2024 majira ya saa tatu asubuhi.
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.