- Home
-
- Huyu Ndio Juma Mgunda, Simba Wanapashwa Wampe Ukocha Mkuu Waachane na Wazungu
Huyu Ndio Juma Mgunda, Simba Wanapashwa Wampe Ukocha Mkuu Waachane na Wazungu

Simba SC wameichukua heshima yao kinguvu hii leo , the man behind this mission ni Juma Mgunda ! kipindi chote ambacho Simba inapitia mateso yeye alikuwamich Simba hapo hapo lakini hakushika mpini kwa sababu alikuwa upande wa wanawake.
Kuni ya akiba imeivisha ndondo ! Sijui mashabiki wanatamani kusikia nini zaidi ya taarifa kuwa Mgunda amepewa mkataba kama kocha mkuu wa Simba .
FT AZAM 0-3 SIMBA
⚽️ Sadio
⚽️ Ngoma
⚽️ Duchu
0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)
Stay Informed With the Latest & Most Important News