HII SI LAANA JAMANI?CANADA WAFUNGISHA NDOA 115 ZA JINSIA MOJA KWA WAKATI MMOJA..CHEKI VIDEO YA SHEREHE YAO HAPA

Admin Updates10 years ago5 Views

wedding2
Wapenzi
wa muda mrefu Richard Laslett na Collin Gunther ambao wamedumu kwenye
mahusiano kwa muda wa miaka 37 wamepata nafasi ya kuwa moja kati ya
wapenzi wa jinsia moja 115 waliofungishwa ndoa kwa wakati mmoja mjini
Toronto, Canada.

weddind
Ndoa hizo
zimefungwa kwa pamoja na kuwakutanisha wapenzi wa jinsia moja kutoka
maeneo mbalimbali duniani kusherekea nguvu ya mapenzi yao.
Meya wa Toronto Norm Kelly amesema wanandoa hao wamekutana na kufurahia hatua hiyo muhimu ya kufunga pingu za maisha.
wedding3
Takribani nchi 15 duniani sasa zimeruhusu mapenzi ya jinsia moja .
lesbian
Unaweza kuangalia video hapo chini kuona jinsi tukio hilo lilivyokuwa.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.