HII NI KALI YA MWAKA!! ONA MTOT MTOTO ALIVYOWEKWA KWENYE BEGI NA KUSAFIRISHWA KAMA MZIGO

Admin Updates10 years ago3 Views

 

Mtoto mmoja wa miaka minane amesafirishwa hadi nchini Uhispania kutoka
Morroco akiwa ndani ya sanduku kwa mujibu wa maafisa wa polisi wa
Uhispania.

Mvulana huyo kwa jina Abou alipatikana ndani ya sanduku hilo lililokuwa
limebebwa na msichana wa miaka 19 kuelekea Cueta,eneo lililo karibu na
taifa la Morocco siku ya Alhamisi.


Wakati polisi walipolifungua sanduku hilo, mvulana huyo alikuwa katika
hali mbaya sana.Mvulana huyo kutoka Ivory Coast sasa anahudumiwa na
mamlaka ya Cueta.Gazeti la Uhispania El Paris liliripoti kwamba msichana
huyo wa miaka 19 hana uhusiano na mtoto huyo na kwamba alilipwa na
babaake ili kubeba sanduku hilo.Babaake mtoto huyo anaishi katika visiwa
vya Conary na kwamba alitarajia kuonana namwanawe kulingana na gazeti
hilo.


Chombo cha habari cha Uhispania Efe kimesema kuwababaake mvulana huyo
ambaye anajulikana kama Abou alisafiri hadi nchini IvoryCoast kumchukua
mwanawe baada ya kuhamia katika eneola Gran Canaria mwaka 2013.Babaake
baadaye aliripotiwa kumlipa raia huyo wa Morocco ambaye alimsafirisha
mtoto huyo kupitia sanduku.Msemaji wa polisi aliiambia Efe:”Alionekana
kusita na kama ambaye hakutaka kupitia mpakani”.


Via>BBC ..

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.