Hii hapa kauli ya Rais wa TFF Wallace Karia Kuhusu kupunguzwa wachezaji wa Kigeni

1 year ago116 Views

 

“Tumeamua kusisitiza kubaki na wachezaji wengi wakigeni licha ya watu wengi kutaka wachezaji wakigeni wapunguzwe,mafanikio ambayo tumeyapata ni kwasababu ya uwepo wa wachezaji wakigeni ambao kabla ya wao kuja timu zetu zilikuwa hazifanyi vyema katika michuano ya kimataifa.
“Kwa takwimu tulizonazo wachezaji wakigeni hawajafika 70 kati ya wachezaji 600 ambao huwa wanashiriki katika ligi kuu,hivyo wachezaji wetu wanatakiwa na wao watoke nje ili wakapate changamoto na sio sisi kupunguza idadi ya wachezaji wakigeni,” KARIA RAIS WA TFF
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.