Nigeria na Tanzania ina mastaa wenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram barani Afrika.
Tanzania ina mastaa 9 kwenye
orodha hiyo na Nigeria ina mastaa 7.
Orodha hiyo haijawajumuisha mastaa wa Afrika wanaoishi nje ya bara
hilo akiwemo Akon na Lupita Nyong’o na badala yake imejumuisha wale
ambao shughuli zao wanazifanyia hapa hapa Afrika.
Hii ndio orodha ya mastaa 20 wenye followers wengi zaidi kwenye
mtandao wa Instagram (idadi ya followers ni kwa mujibu wa June 8, 2015.
1. @davidoofficial – 811k (Nigeria)
2. @wizkidayo – 751k (Nigeria)
3. @diamondplatnumz – 711k (Tanzania)
4. @wemasepetu – 652k (Tanzania)
5. @donjazzy – 568k (Nigeria)
6. @genevievennaji – 561k (Nigeria)
7. @ynonnenelsongh – 519k (Ghana)
8. @millardayo – 514k (Tanzania)
9. @iceprincezamani – 509k (Nigeria)
10. @officialtiwasavage – 484k (Nigeria)
11. @vanessamdee – 473k (Tanzania)
12. @jokatemwegelo – 470k (Tanzania)
13. @wolperstylish – 464k (Tanzania)
14. @zarithebosslady – 443k (Uganda)
15. @minniedlamini – 426k (South Africa)
16. @new_kajala – 424k (Tanzania)
17. @bonang_m – 416k (South Africa)
18. @shilolekiuno – 417k (Tanzania)
19. @ommydimpoz – 410k (Tanzania)
20. @peterpsquare – 402k (Nigeria)