HATIMAYE MWIGIZAJI SHAMSA FORD ATOBOA KUWA NAY NDIO “ENDLESSLOVE” WAKE

Admin Updates10 years ago5 Views


Staa mrembo wa Bongo Movies Shamsa Ford ambae siku za hivi karibuni
alikanusha waziwazi alipokuwa akihojiwa na vy mbo mablimbali vya habari
juu ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi wa Staa Nay wa Mitego hatimaye
jana kupitia ukurasa wake mtandaoni alibandikaa picha yake pamoja na ya
Nay ankuandika maneno ya kimahada yaliyosomeka “Miss u so much my endlesslove.”

Kitendo ambacho kinathibitisha kuwa wawili hawa wapo kwenye penzi moto moto

Siku za hivi baribuni zilisambaa picha za wawili hawo wakiwa wanadendeka
wadaku wakahisi wa wili hawo wanatoka lakini Shamsa alijitokeza na
kusema kuwa hao wapo kwenye project ambayo itatoka hivi karibuni na
kusisitiza Nay ni binamu  yake.

Nadhani hapa sasa anataka tuamni kale kamsemo ka binamuu……

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.