HATARI SANA: FIESTA MWANZA 2014…HII NDIYO LIST YA MASTAA WATAKAOPANDA…!

Admin Updates10 years ago7 Views



Msimu wa Fiesta 2014 umeshaanza na show ya kwanza  itafanyika kwenye
uwanja wa CCM Kirumba tarehe 9/8/2014o siku ya Jumamosi. Hii hapa chini ni list ya
wasanii watakaofanya show kwenye jukwaa la Fiesta
  • Diamond Platinumz
  • Shaa
  • Mkubwa na Wanae
  • Young Killer
  • Ney Wa Mitego
  • Mr Blue
  • Linah
  • Makomando
  • Madee
  • Young Dee
  • Super Nyota



Pamoja na suprise mbalimbali kwenye jukwaa hilo. Watu wangu wa Mwanza kaeni tayari tutakutana maeneo ya huko.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...